Jinsi ya kuanzisha Kampuni za usafi majumbani na ofisini

Jinsi ya kuanzisha Kampuni za usafi majumbani na ofisini

April_savannah

New Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
2
Reaction score
0
Habari wapendwa,

Nilikuwa naomba kujua zaidi kuhusu kampuni au watu wanaotoa huduma za usafi majumbani na ofisini. Jinsi ya kuanzisha, uendeshaji wake na changamoto zake.

1620197459945.png

Njoo PM maana Nina kampuni kila kitu tayri, shida ni tender ama una tender nitafurahi tuungane twende mbele.
 
Habari wapendwa,

Nilikuwa naomba kujua zaidi kuhusu kampuni au watu wanaotoa huduma za usafi majumbani na ofisini. Jinsi ya kuanzisha, uendeshaji wake na changamoto zake.
Nakushauri tafuta wataalamu au nenda BRELA wakujulishe namna ya ufunguaji wa kampuni.
 
Back
Top Bottom