Jinsi ya kuanzisha redio za FM za kijamii!

Insabhunsa Gusa

Senior Member
Joined
May 13, 2011
Posts
109
Reaction score
88
Wadau,

Nataka kuanzisha kituo cha fm cha kijamii, kwa malengo ya kuelimisha jamii za vijjini kule mkoani Rukwa, ukanda wa ziwa Tanganyika katika masuala ya afya na Elimu kwa shule za msingi na sekondari, bila kusahau kuwaburudisha wana jamii kule.

Naomba msaada wa jinsi ya kuanzisha hiyo fm redio. Utaratibu mzima na masharti yake ni yepi?? Nianzie wapi ndugu zangu?? Nawaombeni msaada wenu kiushauri na ki utaalamu... Unaweza kunishauri kwa email: jones992k@hotmail.com au kwa sms kwenye 0763 947266. Asanteni sana!!
 
Kaulize TCRA upate taarifa kamili na sahihi kwenye Ofisi zao, HQ au Zonal Offices au tembelea tovuti yao.
 

Nakutakia mafanikio mema mkuu.
 
oyaa mkuu site nzuri kijiji cha ngorotwa kata ya kasanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…