Jinsi ya kubadili fadhaa/aibu kuwa fursa. Baada ya jana kuaibishwa leo nimejenga CV

Jinsi ya kubadili fadhaa/aibu kuwa fursa. Baada ya jana kuaibishwa leo nimejenga CV

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,651
Reaction score
14,337
Jinsi ya kubadili fadhaa/aibu kuwa fursa. Baada ya jana kuaibishwa.

Jana nliandika namna nlivyoaibika huku wanaume wakiacha niabike mpaka kukolewa na mwanamke anayejiheshimu.

Leo nmebadili ile fadhaa na kuifanya fursa. Nmeanza siku kwa kuwa kumbusha kuwa jana nliwa presentation mbili moja hawakulipia ila walipata intro tu(baada ya mashine yangu kujitokeza kutokana na zip kuharibika mbele za watu). So nikawaambia kuwa leo nitaendelea na ile ya kwanza iliyonipeleka. Ya pili nitawaachia contacts kwa watakao hitaji.

Nlimpongeza HR wao kwa kuwa makin kuchagua wafanyakaz waliounganishwa na grid kwa maana ya kuwa wanapitisha umeme na kuswitch vifaa mbalimbali. (yule dada aliyekaa uchi hadi mimi kuona muundowa sehemu yake ya siri ndani ya chupi)

Pia nikampongeza kwa kuwa na wadada wenye hekima na busara kama yule aliyeniita kunisitiri na nmemwambia mumewe ana bahati sana.na kama hajaolewa bado ni sababu wanaume wengi wa siku hizi ni wapumbavu wanashindwa kuona dhahabu wanakimbilia udongo. Hivyo abaki single kama mimi tu. jamaa walicheka na kupiga maofi..yule dada aliinama kwa aibu kidogo akitabasam.

Actually nimewapiga madongo kiaina wanaume wa mule ndani kuniacha mashine imetoa jicho kutizama nje.nmeitumia fursa hii kwa kuwapatia materials ambayo yana namba yangu ya simu so najua sitakosa wadada wakutaka kujifunza zaidi.

Tumemaliza kwa amani na lile tukio la jana limekuwa na matokeo chanya zaidi kuliko hasi. Tumecheka na wengi wamechukua biz card yangu.

Wadau kila fadhaa ina mlango wa kutokea usiache udharirike milele. Nmetumia fadhaa/aibu yangu kama fursa na imenisaidia kujijenga.

wabillah tawfiq.
 
Back
Top Bottom