Jina lina uhusiano na wizara ya ardhi? [emoji15] [emoji15]Kisheria inawezekana, kuna document ya kubadilisha jina( deed pol) ambapo husajiliwa kwa msajili wizara ya ardhi baada ya kukamilisha taratibu...muone wakili ama nenda mahakamani kwa taratibu hizo.
BAADA YA KUANDALIWA DEED POL NA WAKILI AU MAHAKAMA UNAHITAJI KUISAJILI HATI HIYO YA KUBADILISHA JINA KWA MSAJILI WA NYARAKA AMBAYE YUPO CHINI YA WIZARA YA ARDHI.sijaelew kuhusu wizara ya ardhi
hapo meelewa sasaa,shukrani mkuu,lakin haiwezi kuwa na athari kwenye academic certificates zangu.?BAADA YA KUANDALIWA DEED POL NA WAKILI AU MAHAKAMA UNAHITAJI KUISAJILI HATI HIYO YA KUBADILISHA JINA KWA MSAJILI WA NYARAKA AMBAYE YUPO CHINI YA WIZARA YA ARDHI.
GHARAMA YA KUSAJILI NI SH. ELFU 80
Haina tatizo. ni jambo linalikubalika kisheria, vyeti vyako vitaendelea kuwa halali na popote utakapowasilisha vyeti vyako utaambatisha deed pol kuthibitisha mabadiliko ya jina.hapo meelewa sasaa,shukrani mkuu,lakin haiwezi kuwa na athari kwenye academic certificates zangu.?
Sasa nadhani umeelewa soma reply juu[emoji115]Jina lina uhusiano na wizara ya ardhi? [emoji15] [emoji15]