Jinsi ya kubadilisha kisima chenye Maji chumvi kuwa maji baridi

Check na makampuni yanayoshugulika na mambo ya maji. Kama vile Davis and Shirtllif.
 
usimfuate pm atakunyonga huyo siri ya nini.?
njoo pm nitakupa namba ya mtu ila yupo hapa dar atakupa maelezo na atakushauri ununue mashine inayotoa chumvi kwenye maji,
 
hiyo sio chumvi ni magadi hata sabuni haishiki na kupikia pia nia shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…