Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
Nilikuwa natumia FM radio nikaweka CD sasa nataka kurudi kwenye FM radio inagoma. Wakati natumia FM radio screen touch Ilikuwa inafanya kazi ila kwenye CD screen touch haifanyi kazi
Naomba msaada