Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
Unajuwa, LUGHA ni shida kwa tulio wengi kwenye magari ya kijapaniKwani manual huna?? Au lugha inasumbua?
Busara hainaga hispitali kwamba mtu atawekewa kwa opereshi.... UKIIKOSA HUPONI, UNABAKI huna busara maisha yoteLengo lako tujue una gari , hongera bwana [emoji23][emoji23][emoji23]
Lete nikurekebishieUnajuwa, LUGHA ni shida kwa tulio wengi kwenye magari ya kijapani
Weka maelezo hapa...Lete nikurekebishie
Weka maelezo hapa...
Sina manualKwani manual huna?? Au lugha inasumbua?
Ndio, ninalo. AsanteLengo lako tujue una gari , hongera bwana [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji115]Mkuu vitu kama hivi sisi we gine tunasolve ikiwa tupo ana kwa ana na tatizo, au pambana mwenyewe
http://hon.cloudz.pw/download?file=addzest+max950hd+english+manual
Sina manual
Unaondoa maana ya kuwa na JF, na hata hivyo, umesema tu lete huku... WAPI?Mkuu vitu kama hivi sisi we gine tunasolve ikiwa tupo ana kwa ana na tatizo, au pambana mwenyewe
http://hon.cloudz.pw/download?file=addzest+max950hd+english+manual
Asante nitajaribuMkuu vitu kama hivi sisi we gine tunasolve ikiwa tupo ana kwa ana na tatizo, au pambana mwenyewe
http://hon.cloudz.pw/download?file=addzest+max950hd+english+manual
Asante sana, nitajaribuMkuu vitu kama hivi sisi we gine tunasolve ikiwa tupo ana kwa ana na tatizo, au pambana mwenyewe
http://hon.cloudz.pw/download?file=addzest+max950hd+english+manual