kyatamato JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 387 Reaction score 269 May 24, 2015 #1 Habari.. naombeni msaada jinsi ya kubadilisha subtitle kwenye chanel mfano kuna chanel inaitwa Mbc 2 hawa wanaweka muvie nzuri ila tatizo subtitle zao zipo kwa rugha ya kiarabu
Habari.. naombeni msaada jinsi ya kubadilisha subtitle kwenye chanel mfano kuna chanel inaitwa Mbc 2 hawa wanaweka muvie nzuri ila tatizo subtitle zao zipo kwa rugha ya kiarabu
wambagusta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 2,825 Reaction score 2,292 May 24, 2015 #2 Piga customers care Azam tv babu ndio suluhisho sahihi
Tz mbongo JF-Expert Member Joined Mar 12, 2015 Posts 13,332 Reaction score 7,351 May 24, 2015 #3 Mkuu hiyo MBC 2 we unaipataje?
kyatamato JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 387 Reaction score 269 May 24, 2015 Thread starter #4 Tz mbongo said: Mkuu hiyo MBC 2 we unaipataje? Click to expand... ipo kwenye kingamuzi cha Azam tv mkuu
Tz mbongo said: Mkuu hiyo MBC 2 we unaipataje? Click to expand... ipo kwenye kingamuzi cha Azam tv mkuu
Vi rendra JF-Expert Member Joined Sep 11, 2017 Posts 3,271 Reaction score 5,617 Jan 15, 2025 #5 Hili swala lilipata ufumbuzi?