Jinsi ya kubaki kuwa masikini

Unazaa watoto ili waje kukusaidia shame, Wakifa wao kabla ya muda wa msaada? Kwa hiyo hulali unakesha duniani hivi wewe hujui Unaishi mara moja tu, Fanya vitu ambavyo roho yako inapenda, Kila mtu na furaha yake usiwasemee watu, Huko kwa Tumbo watu wana watoto wengi na mateja wanafuraha, Wengine wana vyuma kwenye moyo na wanafuraha, Umaskini au utajiri inategemea unaongelea umaskini gani? Kuna umaskini wa afya, pesa, mawazo, Sasa wewe kama unaongelea pesa basi watanzania wote ni takataka ukilinganisha na Dangote, Pambana na hali yako mkuu hata uwahi kuamka au usilale ukeshe hutapata furaha uitakayo kwa mawazo yako ya kujilinganisha
 
Ni sawa... japo nilishawahi kuliona hili bandiko mahali
 
[emoji378][emoji378][emoji378]
 
Pole mkuu.
[emoji382] hakuna dawa tamu
 
Pole mkuu.
[emoji382] hakuna dawa tamu
Pesa Pesa Pesa wengine wanatembea peku hata kula hawali kisa Pesa za masharti, Pesa ya kuambiwa usiku ulale umesimama wima kweli?
 
vijana wengi wa mjini akishanunua ka flat screen,kitanda sita kwa sita,sabufa hapo kilichobaki ni kuanza kuleta mademu tofauti tofauti .Ila mwisho wa utozi huwa ni majukumu.
 
Nimeridhika na umasikini wangu ndo maana najituma sana nibaki hivi hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…