jinsi ya kubuni biashara

philip kiyame

New Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
1
Reaction score
0
jamani ninaomba msaada wenu wa kimawazo,

nina shilingi milioni tano kwenye account, nisaidieni nifanye mradi gani ili kuizungusha hiyo milioni tano? nimejitahidi kufikiria lakini naona sipati jibu,sasa kama kuna mtu anayeweza kunisaidia kimazo naomba msaada wenu.
 
Milioni 5 ni mtaji mzuri kuanza biashara japo inategemmea na aina ya biashara unayotaka kuifanya, Sio lengo langu kukuudhi kama nitakuwa nimekuudhi ila binafsi nafikiri kama ungesema level yako ya elimu ana utaalamu pia ingesaidia kwani biashara zingine zinahitaji aina fulani ya elimu ama utaalam ama uzoefu na je ni mara ya kwanza unajiingiza kwenye biashara ni hayo tu kwa sasa,
 
Milion 5 ni mtaj mtaj mkubwa sna ndugu yangu,naweza kushauri ufanye kilimo cha kitunguu kwa lengo la kukuza mtaji wako,kwa uzoefu wang heka 1 ikilimwa vizuri inatoa gunia 60 mpk 80 na unaweza kuuza kwa 140000 kila gunia,gharama ya kulima heka 1 ni around laki 7,unaweza ukalima heka 3 ambayo unaweza ukatumia milion 2 na nusu ila faida itakuwa mara 9
 
Mkuu Good business aidea inatokana na wewe mwenyewe, usitarajie mtu mwingine akupe business aidea iliyo bora, na razima uumize kichwa sana kutafuta usiness aidea iliyo bora na ambayo ni sustainable

Unacho takiwa kufanya ni

1. Kukaa chini na kuangalia mazingira uliyopo na jamii iliyo nayo ni kitu kipi inahitaji?
- Ni kitu kipi wafanya biashara wengine hawafanyi? au wanafanya chini ya kiwango?
- Katika kuwaza kwako tageti miaka 5 hadi 10 ijayo, tusipende biashara ya zima moto

2. Soma sana makala ya uchumia na biashara kwenye magazeti na kwenye blog mbalimbali zilizoko humu TZ na nje ya nchi
- Mara nyingi makala nyingi za baishara na uchumi huwa na vitu ambavyo ukivikombaini pamoja unapata wazo zuri sana la biashara
- Na kuna vitabu vile vile
3. Angalia vipindi vya uchumi kwenye television mbalimbali za dunia, mle kuna opportunuty nyingi sana

4. Jaribu kutembea au kusafiri hata mikoani nina uhakika ukisafiri hata kutoka Dar hadi Arusha huwezi kosa wazo la biashara au kutoka Dar hadi mwanza kupitia Dodoma na singida na shinyanga,
- Mikoa yetu na maeneo mbalimbali yana furusa nyingi sana za biashara

5. Kwnye website mbalimbali za Business planing competition uki google utapata blog nying sana za mashindano ya kuandika michanganuo ya biashara na mle ndo kuna mawazo yaliyo enda shule

6. Anagalia treind ya uchumi wetu na watu wetu unaelekea wapi,

6. MWISHO JARIBU KUKUSANYA HATA AIDEA 10 HIVI THEN ZI CHUJE KULINAGANA NA MTAJI NA MAHITAJI HADI UAPATE MOJA ILIYO BOR NA AMBAYO UTAIFANYIA KAZI

NA KWA WAKATI HUU WA SASA JARIBU KUTAFUTA AIDEA AMBAYO INAFOCUS MIAKA HATA 50 IJAYO KWAMBA HII BIASHARA NI NAYO ANZA NI SUSTAINABLE KIASI KWAMBA INAWEZA KUWEPO HATA MAIKA MINGI IJAYO, TUSIPENDE MAWAZO YA BAISHARA RAHISI RAHISI KAMA VILE KUUZA MITUMBA KUNUNUA BODA BODA NA KAZALIKA
 

Mkuu hapo umenifumbua macho sana kuhusu hizo trick za kupata idea za biashara yaan baada ya kuangalia wenzako waliofika mbali wanafanya nin,but naomba nikusumbue kidogo naomba unipatie kama blog mbili tatu za biashara.
 

nimeipenda
 


wazo zuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…