Jinsi ya kuchepuka bila kukamatwa (Kitabu)

Jinsi ya kuchepuka bila kukamatwa (Kitabu)

ndugufred

Senior Member
Joined
Dec 30, 2011
Posts
137
Reaction score
44
Kuna aina mbili za wanadamu, wanaochepuka na wasiochepuka. Sio lengo la andiko hili kuelezea kwanini wanachepuka. Humu nimeelezea tu mbinu za kuendesha maisha ya kuchepuka kwa tahadhari.

Kitabu hiki ni kwa ajili yako wewe ambaye umeshajijua kuwa upo kwenye kundi la wanaochepuka, na tayari unachepuka au unaplan kuchepuka, lakini tayari umeshajicommit kwa mtu kwamba ye ndo wa maisha, na hautoenda kwa mungine.

Unampenda, umeshafanya maamuzi ya kuwa naye yeye tu maisha yako yote yaliyobaki. Lakini ndani kabisa uvunguni mwa mtima wako kuna kisauti kinakuambia hakuna namna utaishi bila kuonja namna tofauti tofauti za miili ya wanadamu hawa watamu wa kike zinavyoweza kukupa ladha tofauti kunako sita kwa sita.

Haisaidii kupoteza muda kila mara unajiwazia na unajichukia, kujiona una kilema, kwamba mwanaume mkamilifu ni yule ambaye hachepuki. Mimi na wanachama wenzio wa Chama cha Wachepukaji tunakuambia, hauko peke yako. Na sheria ya survival inanajulikana, wale wachache ambao wamezaliwa tofauti na walio wengi ndio vilema.

Hivi kama binadamu asilimia 95 wote wana mikono miwili, we ukazaliwa na mitatu, nani ni kilema? Sawa, mkono wa tatu unakuongezea unafuu, lakini ukweli unabaki pale pale, wewe mwenye mikono mitatu ndiye kilema. Vivyo hivyo, kwa vile wanaume wengi wanachepuka, wachache ambao hawachepuki ndio vilema.

Lakini bila shaka pamoja na hizo starehe zetu, wote tunakubaliana kuwa lazima ndoa zetu ziendelee kuwa na afya ili tutengeneze kizazi safi kijacho. Hivyo basi, kitabu hiki ni kwa wale wanaume, ambao wameamua kuukumbatia uanaume wao, na wanataka ndoa zao zibaki kuwa na afya. Waliochagua kuendelea kufaidi uumbaji wa Mungu katika sura tofauti tofauti, kwa kubofya vitufe vipya kila inapowezekana na kuyaangazia maisha yao kwa starehe hii asilia.

Katika kitabu hiki, ntakupitisha kwenye scenarios tofauti tofauti ambazo inabidi kuzimudu ili usije ukaibomoa taasisi adhimu ya ndoa. Familia ni taasisi moja muhimu sana kwa kuzalisha binadamu bora wa kizazi kitachofata baada ya sisi. Familia ni kubwa sana kwa umuhimu kulinganisha na “nyege-mshindo” za muda mfupi.
 

Attachments

Wengine wataponda humu ila ndio wachepukaji namba moja.

Kuchepuka si jambo zuri hasa kwa wenzi wetu lakini ki uhalisia lipo na litaendelea kuwepo, hasa kwa upande wetu sisi wanaume ni kazi sana kuepuka hili jambo.
 
Yaani hiki kitabu bhaana! Nimekapitia kote
 
Back
Top Bottom