Jinsi ya kudumisha amani yetu hapa Tanzania na ukanda wetu wa Afrika Mashariki na Kati

Jinsi ya kudumisha amani yetu hapa Tanzania na ukanda wetu wa Afrika Mashariki na Kati

Dede 01

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2024
Posts
1,182
Reaction score
2,248
Habari wakuu!

Kutokana na vita zinazoendelea hapa Afrika hususani ukanda wa kusini mwa janga la Sahara napendekeza wazo ambalo litasaidia kudumisha amani yetu.

Napendekeza ya kuwa serikali yetu au EAC au hata SADC waanzishe kiwanda au taasisi itakayotengeneza silaha za kivita zinazoendana na dunia ya sasa hapa nazungumzia missiles, hypersonic weapons, cyber and satellite weapons, submarines na modern tanks yaani vifaru vya kisasa.

Naamini vifaa hivi vinauwezo wa kutosha wa kuwafurumusha magaidi waliopo katika ukanda wetu na kulinda sovereignty yetu kama taifa.

Nchi zilizoendelea katika medani za kivita kama vile US, Germany, Russia na China zote zimeshaachana na ma AK 47 na magranade bali yanatumia vifaa vya hali ya juu walivyovitengeneza wenyewe hakuna anaemuazima mwenzake.

Kwahiyo serikali yetu iliangalie hili naamini mainjinia tunao wa kutosha wenye akili wanaoweza kufanya wonders. Tusitegemee misaada hadi kwenye masuala ya vita. It's time for us to stand.

Yangu ni hayo tu.
#SABABU TUNAYO, UWEZO TUNAO.
 
Back
Top Bottom