Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
Sio lazima uwe tajiri ila ni muhimu KUEPUKA UMASKINI.Nakubaliana kabisa na huu "uzi" wako, lakini hebu nikuulize, hivi "utajiri" ni nini hasa?? Hivi kuwa tajiri hapa duniani ni muhimu sana kuliko kitu chochote kile, au kuna vitu muhimu vya kufanya kuliko kuutafuta utajiri???
Huu uzi umeuweka sehemu stahiki.1.Usiamke mapema.
2. Usipange matumizi ya Pesa zako.
3. Usiweke akiba mpaka utakapo-kuwa tajiri.
4. Chagua kazi. Mimi nimesoma siwezi kufanya hii kazi.
5. Usifikirie kuanzisha biashara mpaka malaika akishuka kutoka mbinguni na kukukabidhi mtaji.
6. Endelea kuilahumu serikali na wazazi ambao hawakukupa Elimu.
7. Tumia Pesa nyingi kuliko kipato chako.
8. Hakikisha unaenda na fashion. Kila toleo jipya la nguo, viatu, simu lazima na wewe ununue.
9. Wanunulie watoto wako chochote watakacho kuomba.
10. Endelea kutumia muda mwingi zaidi kwenye social networks. Kama Whatsapp, Facebook na Instagram.
Kina nani?!wanakuja
AsanteSio lazima uwe tajiri ila ni muhimu KUEPUKA UMASKINI.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]My Ex siku moja unajitahidigi kama hivi kumbe..hongera
mmmh Mchambuzi nimetia timUmeandika kiaina fulani ambapo kwa upande wangu naona vya kujifunza ni vingi katika hivyo ulivyoandika kwani kwa kila mwenye moja kati ya hilo na akalifanya kinyume chake basi nadhani walio wengi watazidi kuuepuka huo umasikini badala ya kuukumbatia.
Hongera zako mleta uzi.
Hahahaaaaa. Nakuona tu. Za kuadimika?mmmh Mchambuzi nimetia tim
Karibummmh Mchambuzi nimetia tim