Naomba msaada nitafanya mradi gani ambao unaweza kuwasaidia watanzania wachache wanaopenda ujasiriamali na biashara na nina sh 30 milioni.
Naomba msaada wa maelezo a kutosha juu ya hilo.
Mkuu siku nyingine ukiomba ushauri jaribu kuweka detailed information..eleza ukoap,una idea gani n.k
Mimi ushauri wangu kwako tafuta namna ya kuhifadhi hiyo pesa kisha ufanye uchunguzi ikiwa ni pamoja na kushauriana na watu.Siku hizi Business consultants ni wengi sana hivyo unaweza kumega kiasi kidogo kwenye hiyo hela yako kwa kufinance Market Research
Kama uko serious kweli basi tulia utapata wazo la maana sana..Listen to the Sound of Silence.
hiyo pesa nzuri sana kwa biashara ikafanyika na kufanikiwa. Im a professional Accountant hivyo kama kweli unahitaji ushauri wa kitaaluma ufanye nini nipe email yako tuwasiliane. unaweza pm
Naomba msaada nitafanya mradi gani ambao unaweza kuwasaidia watanzania wachache wanaopenda ujasiriamali na biashara na nina sh 30 milioni.
Naomba msaada wa maelezo a kutosha juu ya hilo.
Ndugu yangu nina conection kubwa sana ya kuweza kusuply matunda ulaya i am still exploring hiyo opportunity-ila kama upo interested nijulishe tujue tuanzie wapi nadhani kama nia yako kutoa ajira kwa vijana kilimo ni moja ya njia moja wapo wapo manake unaweza kutoa ajira to more than 1000 people...tatizo sina muda wa kufanya kila kitu ila in win win solution basi tunaweza kushirikiana