Jinsi ya Kuepuka Fines za Kodi na Brela

Luhamba II

Senior Member
Joined
Mar 22, 2025
Posts
137
Reaction score
219
Wafanya biashara wengi hupigwa fines wasizozitegemea na wanajikuta na mrundikano wa madeni makubwa yanayo waelemea kila uchwao.

SAbabu kuu zinazofanya wafanya biashara wanapigwa fines ni kutokuzijua compliances wanazotakiwa kuzifanya kila mwezi na kila mwaka.

Nimekuandalia E-book inayoitwa "Tricky Compliances" ambayo itakueleza compliances 6 unazotakiwa kuzifuata kila mwezi ili usipigwe fines.

Hii E-book ni BURE

Nitumie neno "Compliance" WhatsApp kupitia namba hizi

0678131068

Naitwa Luhamba, Your Favorite lawyer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…