Jinsi ya kuepuka mwanamke asipate ujauzito

GIPAMA

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2016
Posts
1,103
Reaction score
541
Ndugu wana JF Doctor amani na iwe kwenu,

Mimi ni kijina mwenye umri wa miaka 27, nina tatizo moja, nikitumia condom katika mambo yetu, jamaa yangu anakuwa weak na kukosa hamu kabisa na kulala usiku kucha. Binti nimepima naye tupo safi ila sasa anaogopa kugegedwa hivo hivo kwa kuhofia kubeba ujauzito na mazingira yanakuwa yanatukutanisha akiwa siku za hatari,

Je,,, nikifanya nae bila kutumia kinga na akawa kwenye siku hatari, tutafanyaje ili fertilization isi take place? Je kuna dawa ya kuzuia mimba isitungishwe tofauti na uzazi wa mpango?
Naombeni kusaidiwa, kwa alienielewa anisaidie tafadhali....!!
 
Mkuu hivi ni lazima ufanye kuc kuch hadi siku za hatari ya mimba.

Jambo la msingi huyo binti azitambue siku zake vyema. Kama hazitambui jiandae kuitwa...
 
Kila baada ya tendo, binti anywe maji ya baridi lita moja, hivyo kabla ya tendo hakikisha una lita moja ya maji bariidi, baada tu ya kumaliza tendo, binti aanze kunywa maji! Mimba utazisikia radioni, hii ni njia ambayo nilifundishwa na mtaalamu wa tiba asili, jaribu harafu utuletee mrejesho.
 

Hiyo njia sidhani kama inafaa kama ikiwa ni siku za hatari.
 
Sawa mkuu, nipe na nyingneee!!
 
Je ukirudia tendo hata mara4 napo anywe lita4?
Jee.... Kama utalala nae usiku kucha!? Kila tendo lita mojaa ama mnapoona hamrudii tena ndio anywe?
Naomba ufafanuzi tafadhali.
 
Kaboli are you serious?
 
Nitafute mimi nikupe dawa ya asili ya uzazi wa mpango Dawa zisizo kuwa na madhara yoyote yale ukizihitaji dawa zangu Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Fanya withdrawal mkuu, ni njia ilio safe kuliko zote pia haina madhara ingawa itahitaji uwe na nidhamu ya hali ya juu na kumasta mzunguko wako vyema!
hakuna njia safe ya kuzuia mimba, cha msingi msifanye mapenzi siku za hatari, hiyo ya kunywa maji haipo kabisa .. yanapoenda maji na mfumo wa uzazi ni vitu viwili tofauti kabisa usidanganywe, pia withdrawal ni very risky kwani likikuponyoka hata tone moja tu tayar vitu vinaitika
 
Withdraw au kama utashindwa mkimaliza atumie dawa inaitwa Postinor-2 (p2)
Postinor sio njia ya kudumu ya ku control mimba. Itafanya kazi kwa muda ila ikishazoea mwili huwa inatabia ya kukataa. Na pia inavuruga mzunguko wa mtoto wa kike vibaya mno, anaweza akae hata mwezi tena asipate Periods. Nilikuwa naitumia pia ila mwisho wa siku ikadunda nilipata shida kweli mpaka leo natumia withdrawal tu ndio njia safe maana condom zimenishindaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…