Jinsi ya kuepuka mwanamke asipate ujauzito

nilikuwA sifahamU kumbE majI baridI yanazuiA mimbA kweli jf ni zaidi ya shule
 
Kuna mmoja nimewahi kumuona anameza panaldo baada ya sex ili kuzuia mimba, sijawahi kujua kama inasaidia kweli labda wataalamu watueleweshe.
 
Je ukirudia tendo hata mara4 napo anywe lita4?
Jee.... Kama utalala nae usiku kucha!? Kila tendo lita mojaa ama mnapoona hamrudii tena ndio anywe?
Naomba ufafanuzi tafadhali.
Hapa ni kila baada ya tendo, na ndo mojawapo ya changamoto ya hii njia, kama zilivyo nyingine, njia hii wanaitumia wengi sana hasa wasiopenda njia za kisasa
 
Kaboli are you serious?
Yaani sio masihara, kuna mama wa kisabato ndo alinipa hii shule na nikapata ushuhuda wa kina mama wawili waliopata shule kwa huyo bi mkubwa, mambo yao ya uzazi yanaenda kama wanavyopanga.
 
Wasomi wengi mnaamini katika 'fact and figures 'sasa sisi akina kalumakenge 'ni watu wa kujaribu jaribu na inapotokea haijanasa basi tunakubaliana nayo!
 
Tumia njia ya kalenda ndio nzuri, iko hivi, akiingia period hesabu siku 5 ukianzia na ya siku ya kwanza kuona perid, katika siku hizi hamtakiwi kukutana sababu ya damu. Siku 5 zinazofuata ni salama, gegeda uwezavyo. Baada ya hizo 5 za kugegeda zinafuata siku nyingine 8, katika siku hizi hamtakiwi kugegedana kwani ni siku za hatari ambapo siku ya 14 tokea hedhi ianze yai hupevuka na likiguswa tuu na mbegu mimba!! Baada ya hizi siku 8 kuisha, unaweka shida chini mikono juu, unagegeda mpaka utakapoona hedhi.Baadae mzunguko unaanza kama hapo mwanzo. Pia awe makini kwani yai linapokaribia kupevuka kuelekea siku ya 14 mwanamke huwa katika heat na anakuwa na hamu sana ya kugegedwa. Fuatilia mchoro huu wa kalenda kwa msaada zaidi.
 
withdraw kiongz, now naenjoy sana, ila ukizoea na kuwa master, utakuwa unaona raha sana (hata mwenza wako atakuwa anakupa bila hofu, na yy atakuwa anaipenda ile volcano ya moto inavyomwagika mwilin mwake)

ahaha ahaaha
 
Fanya withdrawal mkuu, ni njia ilio safe kuliko zote pia haina madhara ingawa itahitaji uwe na nidhamu ya hali ya juu na kumasta mzunguko wako vyema!
If you think withdrawal works, ask my five month pregnant girlfriend. In the end of the day mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa katika haya mambo... Ukienda peku anaweza akakutegeshea mimba bila ridhaa yako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…