Wakusolve
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 274
- 254
Habari za wakati huu wana jf , niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu ni kushare kilichonikuta leo.
kuna mtu mmoja alinicheki anaitaji kilo 30 za mchele alikuwa mbali na sehemu ninapouzia ko anaitaji free delivery nikasema sawa , tukakubaliana vizuri ukifika analipia , picha linaanza nikiwa kwenye daladala akanipigia anasema nimlipie umeme kwenye no ya mita alinitumia akadai nikifika sehemu husika atanirudishia nikamwambia sina akasema sawa nafika sehemu uhusika nakuta simu haipokelewi mara hipo bizze kumbe jamaa ni tapeli.
Kama ningemtuma boda basi leo ningekula hasara kubwa lakini nimepoteza tu pesa ya nauli na kurudi na mzigo ofisini.wale mnaofanya biashara za online mnatumia mbinu gani kukwepa awa matapeli wa mtandaoni.asante nawasilisha