Vito Corleone
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,418
- 5,257
hivi betting ni miongoni mwa chanzo cha vipatoChoices ni nyingi mno. . .
Kuna mikopo, kuna vikoba, kuna sapoti ya ndugu jamaa na marafiki
Lakini pia kuna betting, sasa hapo kote mtu asijipate kweli???
Ni maamuzi zaidi, na at the end of all kuna savings pia, kununua gari sio kipengele kama inavyochukuliwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume wa Dar wambea kuliko wanawake