Bonnie99
New Member
- Sep 16, 2021
- 2
- 8
Moja ya tafiti ambazo zimefanywa na baadhi ya watu waliofanikiwa duniani iligundua kuwa watu wengi sana duniani wanashindwa kufikia MALENGO na NDOTO walizonazo kwa sababu zifuatazo;-
1: Watu wengi uweka MALENGO ambayo hayajausanishwa na kile wanachokifanya kila siku inaweza kuwa biashara na shughuli mbalimbali za kimaisha na hivyo kumpa mtu huyu mwenye malengo muda mrefu sanabila kutimiza na kutumia rasilimali mbalimbali ili kuweza kutimiza MALENGO waliyonayo
Hivyo Kuna umuhimu mkubwa sana wa kuweka malengo yenye uhusiano wa moja kwa moja na kile tunachotaka kukikamilisha.
2: Watu wengi sana utumia muda wao mwingi kufikiria matokeo watakayopata na sio jitihada zipi waziweke ili kutimiza MALENGO yao.
Jambo hili pia limekuwa moja kati ya sababu kubwa sana ambayo imewazuia watu wengi wenye malengo kushindwa kuyatimiza unapoweka FOCUS kwenye matokeo kulingana na utafiti wa baadhi ya wanasaikolojia wanasema kuwa hupunguza hamasa katika Jambo ambalo mtu analifanya .
Kwani watu wengi wamekuwa wakitegemea kupata matokeo makubwa endapo changamoto zikiingia kati wanaona kuwa huenda wakashindwa kupata matokea ambayo wangeyapata na kupunguza jitihada,muda na rasilimali katika lengo husika.
Ni sawa na mtu ambaye yuko kwenye chumba cha mtihani alafu anagundua baadae kuwa kafanya swali tofauti na inavotakiwa na muda huo alitegemea kupata matokeo makubwa hii umfanya kupoteza hamasa na kushindwa kuendelea na mtihani.
Ndivyo ilivo katika malengo ya kimaisha.
3: Watu wengi huogopa kufeli sababu ya changamoto watakazo kutana nazo njiani.
Watu wengi sana wamekua wakiuliza sababu ambazo zimesababisha kutokufikia MALENGO yao na huja na sababu nyingi ikiwemo changamoto,historia zao za nyuma n.k.
Tafiti zinaonesha kuwa hii imekuwa mwiba kwa watu hawa nakuwafanya kutogikia malengo yao maishani.
Moja ya Siri kibwa ambayo watu hawaijui kuhusu changamoto ni kuwa ,
👉 Changamoto zipo ili kukuweka wewe kuwa imara katika MAONO na NDOTO ulizonazo.
Sababu Kuna wakati inakubidi ufeli ili ujifunze kupitia kufeli kwako.
Pia Kuna wakati inabidi ukataliwe na watu uliowatazamia hapo nyuma ili ujihimarishe vyema ilimradi usije ukakatiliwa tena siku za mbele na hii ukufanya kuwa bora sana katika kuyatimiza MALENGO yako .
Andika chini ya makala hi na Jambo gani linalokuzuia wewe kutimiza MALENGO yako na kama ni moja kati ya hizi jipange vyema kufanya matengenezo ili ufikie ndoto zako.

Upvote
1