D daniel danya Member Joined Aug 21, 2014 Posts 71 Reaction score 2 Aug 24, 2014 #1 Naombeni kuelekezwa jinsi ya kufanya application kwa vyuo vya zanzibar ambavyo vipo kwenye kitabu cha TCU
Naombeni kuelekezwa jinsi ya kufanya application kwa vyuo vya zanzibar ambavyo vipo kwenye kitabu cha TCU
D daniel danya Member Joined Aug 21, 2014 Posts 71 Reaction score 2 Aug 24, 2014 Thread starter #2 Kwa wale wanao jua naomba wanielekeze hivi vyuo vya zanzibar sisi wa bara tunafanyaje application kwa sababu TCU wame viweka pale, lakini havipo kwenye kwenye CAS je nafanyaje ili ni apply na je mkopo inakuwaje ? Msaaada plz.
Kwa wale wanao jua naomba wanielekeze hivi vyuo vya zanzibar sisi wa bara tunafanyaje application kwa sababu TCU wame viweka pale, lakini havipo kwenye kwenye CAS je nafanyaje ili ni apply na je mkopo inakuwaje ? Msaaada plz.
Analogia Malenga JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,108 Reaction score 10,191 Aug 24, 2014 #3 Tafta kitabu cha tcu..uone codes za chuo unachotaka
D daniel danya Member Joined Aug 21, 2014 Posts 71 Reaction score 2 Aug 24, 2014 Thread starter #4 Nimepata hizo code lakini nikizi add pale kwa vyuo vya zanzibar inagoma nifanyaje mkuu
zanzibardefi JF-Expert Member Joined Jul 8, 2013 Posts 283 Reaction score 43 Aug 24, 2014 #5 wamevitoa hivo uku unaenda chukua fom
D daniel danya Member Joined Aug 21, 2014 Posts 71 Reaction score 2 Aug 24, 2014 Thread starter #6 Oky thankx kaka vip mkopo napata
F flyn rider JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 456 Reaction score 78 Aug 24, 2014 #7 Unapata,
D daniel danya Member Joined Aug 21, 2014 Posts 71 Reaction score 2 Aug 26, 2014 Thread starter #8 Nimecheck contact zao lakini hazipo poa form cjuo nitapatAje
Makbel JF-Expert Member Joined Aug 14, 2011 Posts 774 Reaction score 167 Aug 26, 2014 #9 daniel danya said: Nimecheck contact zao lakini hazipo poa form cjuo nitapatAje Click to expand... Acha uvivu, ingia kwenye website ya chuo unachokihitaji utaona njia au fomu utaiona hapo na uidownload. Fuata maelekezo na si kusumbua humu.
daniel danya said: Nimecheck contact zao lakini hazipo poa form cjuo nitapatAje Click to expand... Acha uvivu, ingia kwenye website ya chuo unachokihitaji utaona njia au fomu utaiona hapo na uidownload. Fuata maelekezo na si kusumbua humu.