Jinsi ya kufanya malipo online 2017 (online payments)

DROCK

New Member
Joined
Nov 11, 2017
Posts
4
Reaction score
2
Habari zenu wadau, hope mko mnaendelea vizuri ktk shughuli zenu za kiuchumi.

Mimi ninaomba kuuliza kwa anayefahamu ivi kwa banks zetu apa TZ, zipi zinatoa huduma nzuri ya kufanya payments online via debit cards za MasterCard/Visa ??

Na je costs zao zipoje??

Nmewahi kuambiwa kuhusu crdb, equity bank siijui vizuri afu nkasikia na UBA bank tena eti wanatoa kadi bila hata kuitaji ufungue account kwao...am kinda confused!!

Your clarifications will be highly appreciated!!
THANKS
 
Unataka kumlipa mtu aliepo nje ya Africa? na recommend Paypal ni Safe for online payments, you can go for FNB au Equity
 
BankAbc zipo card zinaitwa pre paid card ambapo unafungua hiyo card bila kuwa na account bank, na utakua una weka hela kwa teller hata pitia simbanking ,hiyo card utapewa on spot instantly utaitumia hata kununulia vitu online ipo ya Tsh card na ipo ya dollar card na zote ni visa card ...upo mkoa gani ufike offisini...
 
zipi zinatoa huduma nzuri ya kufanya payments online via debit cards za MasterCard/Visa ??
Lazima kuwe na kigezo stahiki kusema bank hi inatoa huduma nzuri au la,
Nitatoa kigezo kimoja kama mfano
  • REFUND - Kuna baadhi ya benki refund huwa inaingia automatic ndani ya saa 24 hadi 72
    Na kuna baadhi ya benki nilazima ufanye mawasiliano na benki husika, kwa zaidi ya mara moja, Kwa kuwasumbua sana, Ndipo manually watakuingizia fedha yako.
HIvyo lazima kuwe na vigezo A, B, c, etl ndipo utaweza baini kuwa hii bank inatoa huduma nzuri na hii inatoa huduma mabaya
Na je costs zao zipoje??
Visa card/ Mastercard kwa benki nyingi hakuna ghalama yeyote, zaidi ya initial deposity inayotakiwa ufanye. Kuna baadhi ya benki ile initia deposity waweza itoa yote (Card bila account) na kuana baadhi ya benki ni lazima ubakize 10,000 katika account (Card with bank account) husika.
Nmewahi kuambiwa kuhusu crdb, equity bank siijui vizuri afu nkasikia na UBA bank tena eti wanatoa kadi bila hata
Bank nyingi kwa sasa wana toa kadi bila kulazimika kuwa na account husika. Na huwa ni ndani ya dakika 15 unaondoka na kadi yako.
- Iko hivi ukipewa kadi isiyo na jina lako - Hapo unakuwa unamiliki kadi ya kufanyia manunuzi mtandaoni bila kuwa na account katika benki husika, Kadi namba yako ndio inaktumika kama account yako. [ Si kwa benki zote]
- Na ukipewa kadi ambayo ina Jina lako - Hapo unakuwa una Miliki card pamoja na account katika banki husika, Ambapo kadi namba huwezi itumia kama account namba.

Hizi ni kadi nane (8) za benki bofauti taofauti TZ, kati ya benki 10 tofauti, Kila benki ina mazuri na mapungufu yake.

Karibu
 
Je kwa nini unapendekeza FNB au Equity na isiwe benki nyingine kama
- BancABC
- Exim
- Barclays
- etl
Nimefanya nao kazi nakubali services zao mkuu that's all
 
Nimefanya nao kazi nakubali services zao mkuu that's all
Equity na FNB huwa nawatumia pia

Negative side ya benki ulizo zitaja
- FNB: Makato ya kila mwezi ni TZS 17,200

- Equity: Refund hadi uwapigie simu au kuandika email ndio wanakuingizia, Wakati kwa baadhi ya benki zingine huwa ni automatic refund inaingia ndani ya saa 24 hadi 72, Ila wana customer service iliyobora zaidi.
 
Nipo dar, ofisi zenu zipo wapi na gharama za kuipata iyo card ni kiasi gani?
 
Shukrani sana mkuu kwa maelezo yako ya kina, sasa naomba kuuliza na gharama za kupata izo card(without bank account) ni kiasi gani?

Pia as an advice, which bank is economical ili nianzie huko?? [HASHTAG]#vyumavimekaza[/HASHTAG]
 
Pia as an advice, which bank is economical ili nianzie huko?? [HASHTAG]#vyumavimekaza[/HASHTAG]
Equity bank

Why Equity?
- Wana flat rate ya makato ya TZS 300 (Mia tatu tu) kwa kila utakachofanya kwa kadi yako
- Wakati kwa benki zingine makato ni asilimia fulani ya muamala utakaofanya. Hivyo ukifaya muamala Mkubwa na makato makubwa.
sasa naomba kuuliza na gharama za kupata izo card(without bank account) ni kiasi gani?
Andaa TZS 15,000.
Kumbuka hiyo fedha ni yako na waweza kuitoa baada ya kupewa kadi.
 
Shukran sana mkuu
 
Kwa hiyo hiyo kadi unaweza kutumia kufanya malipo ya online mkuu!?
 
Hii haiitaji mtu kuna na pay pal acc si ndio!?
Kuna njia mbili za kufanya malipo
1. Kupitia paypal - kwanza link card yako na paypal account
Au
2. Direck kupitia kadi yako
 

Jibu makini sana hili mkuu.
 
Kuna njia mbili za kufanya malipo
1. Kupitia paypal - kwanza link card yako na paypal account
Au
2. Direck kupitia kadi yako
Shukrani mkuu, hivi bank ina huduma nafuu kidogo hata upatikanaji wa kadi sio mrefu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…