Angalia
wingi wa watu,
Aina ya watu na kipato chao
Angalia Angalia Preferecpnce zao
Usije ukaona soko la kina mama yeyoo wengi ukasema soko la vipodozi utaumia. Usije ukakuta machimbo asilimia 90 ni wanaume ukasema panasoko la vipodozi utaumi,
Usije ukaona kiwiaya kina mabinti weengi wasio na ajira na hawana pesa ukaona soko la vipodozi, utaishia kuuza rays tu ukabaki na poda yako mpaka expire date.
N.K