Hi guys..
Naomba kufahamu utaratibu uliowekwa na bodi ya mikopo kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo, wana-update vip taarifa zao ili kuendelea kupata mkopo kwa mwaka ujao wa masomo? I remember last year kulikuwa na link kwenye olas ila mwaka huu siioni, wameihamisha au imekuwaje??
Msaada tafadhari..