MR.NOMA
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 339
- 505
Elimu ya bure kwa vijana mnaoanza kazi / mlioanza na mnapata ugumu kuishi/ kufanya kazi na mabosi watata. Fanya yafuatayo ataacha utata yeye mwenyewe:-
1. Jipendekeze sana kwake,
2. Uwe mtu wa kumsifia kuwa anaweza sana kazi,
3. Akifanya presentation mwambie hujawahi kuona mtu bright kama yeye, mwambie unajifunza mengi toka kwake ,
4. Akitaka chai kamletee, muulize kuwa alete na maji ya kunywa?
5. Akielekea garini kwake mbebee laptop/ begi lake,
6. Akizinguliwa na mtu kuwa upande wake,
7. Siku akifurahi na kuanza kupiga stori na wewe mpigishe stori za kijanja anazozipenda ila ukipata fursa mtolee mifano ya mabosi wakakisi bila kutaja jina na pia onesha mwisho wao ulikuwa mbaya.
8.Ukiona amezidi sana kukunyanyasa jifanye humuogopi, omba appointment naye ukiingia ofcn mkazie sura muulize anakuchukuliaje?
Kwanini anakutreat vibaya,? Mwambie kuwa hupendi jinsi anakutreat. Mwambie badilika.