Hapo ilipo ndio sehemu imetengwa vikae miaka yote. Pande nyingine zina madirisha labda kama wewe pande zote Una kuta kama hio ndio unaweza kuhamisha kila ukijisikia.Hiyo ni nzuri sana ila najaribu kufikiri namna nyingine ya kifanya hilo..
Ukifanya hivyo maana yake ni kwamba Sebule yako itakaa hvyo hvyo miaka yote ya maisha yako.
Tv na music system zitakaa palee miaka yote, jambo ambalo kwa upande wangu naliona halipo sawa.
Mimi mwenyewe kwa design ya nyumba yangu tv itakaa sehemu moja miaka yote maana pande nyingine zina madirisha makubwaHapo ilipo ndio sehemu imetengwa vikae miaka yote. Pande nyingine zina madirisha labda kama wewe pande zote Una kuta kama hio ndio unaweza kuhamisha kila ukijisikia.
Kuhusu kubadili muonekano rangi na decor nyingine zinatosha.
Nimependa proporsal yako, inakaa vizuri sana, ukiwa hupatumii unaweza funga hata socket ambayo haifanyi kaziHii ni sawa lakini pia sio safi sana...
Hiyo PVC pipe badala ya kuwa wazi kwenye hayo matundu juu na chini (kwa kuweka L-connector), unaweza ukaifanya iishie ndani ya electric switch/socket box...
Hii itakupa nafasi ya kuficha huo uwazi kwa kutumia blank plastic plate pale unapokuwa huutumii huo ukuta kwa kwa kuweka TV...
Nashindwa weka picha, naona kama app ya JF inasumbua kuattach picha