Itabidi usome kwanza diploma ya miaka 3 ndo uombe degreeWakubwa habari,
Ni kijana mwenzenu naomba msaada wa ufahamu. Mimi ni Mtumishi wa Umma niliajiliwa na elimu ya kidato cha nne.
Ila ninandoto ya kuitwa Injinia siku moja na ninaamini kwenye ufundi kuwa ndo nitakapotajirika.
Swali; Je naweza kusoma ufundi veta na nikakidhi vigezo vya kusoma degree?
Miaka hiyo ya kusomamwendo aje kaka
Ipo hivi..!!Wakubwa habari,
Ni kijana mwenzenu naomba msaada wa ufahamu. Mimi ni Mtumishi wa Umma niliajiliwa na elimu ya kidato cha nne.
Ila ninandoto ya kuitwa Injinia siku moja na ninaamini kwenye ufundi kuwa ndo nitakapotajirika.
Swali; Je naweza kusoma ufundi veta na nikakidhi vigezo vya kusoma degree?
10 YearsUrefu wa mwendo ni kiasi gani?
#YNWA
10 +Urefu wa mwendo ni kiasi gani?
#YNWA
Piga hata diploma tumwendo aje kaka
Nashukuru sana mkuuIpo hivi..!!
1. Soma VETA kwa fani unayoitaka ihusuyo engineering.
2. Maliza grades zote za VETA then utaenda FTC (Tull Technician Certificate) au Diploma kwenye fani hiyo hiyo. Hii zipo DIT, ARusha Tech na MUST.
3. Baada ya hapo utaenda kusoma degree ya fani hiyo ihusuyo engineering
NB.
1. Kutoka hatua moja kwenda nyingine ni lazima ufaulu. Vinginevyo hutasonga mbele.
2. Kutoka FTC au Diploma kwenda degree, kunahitajika ufaulu mkubwa kidogo. Zamani, sababu ya hili ilikuwa, wewe unakuwa tayari una profesion yako na unaweza kufanya kazi ya profession hiyo. Hivyo walikuwa wanawapa nafasi kuwa wanaomaliza form six kombi zinazoweza kuwapeleka kusoma engineering.
YesNashukuru sana mkuu
Hizi grades ndo NTA Level?
Good sana mkuu fuata maelekezo ya mkuu hapoDiploma sio shida, shida yangu ni kwamba nishaajiliwa ila huku nilipo nikifikia level hii nitakuwa mtu mwenye faida kazini na hata kwny harakat zangu