kila siku natamani kwenda hii sehemu naiaikia
saana, mwisho wa mwezi huu Mshahara
ukitoka nataka nizame huko, naomba mwenye
kujua napanda gari za wapi nashuka wapi, jinsi
ya kufika naomba kujuzwa. I submit
Panda magari yanayo kwenda Tegeta, Shuka kituo kinaitwa Africana Pale pana vibajaji nadhani nauli haipiti 1000au2000/= watakupeleka ni barabara ya kuelekea Whitesand na Girrafe ocean view hotel.