Jinsi ya kufika Msumbiji (Maputo) kwa bus

Jinsi ya kufika Msumbiji (Maputo) kwa bus

Khalid91

Member
Joined
Feb 2, 2020
Posts
61
Reaction score
43
Habari wakuu,

Nahitaji kwenda msumbiji maputo kwa njia ya barabara (bus).

Ushauri wenu wakuu na wazoefu huwa mnafanyaje fanyaje? au ni gari zipi zinaelekea huko?

Naomba kuwasilisha.
 
Habari wakuu,
Nahitaji kwenda msumbiji maputo kwa njia ya barabara (bus).
Ushauri wenu wakuu na wazoefu huwa mnafanyaje fanyaje? au ni gari zipi zinaelekea huko?
Naomba kuwasilisha.
Nenda Magufuli bus terminal uliza mabasi yanayokwenda Maputo kupitia Malawi.

Usipite njia ya Mtwara kuvuka daraja la mtambaa swala, huko ni kimeo na Islamic state wapo upande huo.
 
Au panda Falcon au Taqwa from Dar to Harare, pale Harare mabus ya kumwaga, unaweza chukua la straight Maputo au via Joberg then Maputo, enjoy your trip mkuu, usisahau kutupia vipicha vya njiani
 
Mwaselwa bwanji akuru, koma mlikuti tikupacheni msio wa bwino wakufikila pamaputo.
 
Siku nyingine useme unakoanzia safari ni wapi..naona wadau hapo wamekujibu kwa kudhania tu kwamba upo Dar
wako sahihi kabisa, ni kuanzia Dar obvious. Nadhani imeeleweka automatically
 
Msumbiji ni kupanda bus mpaka Lilongwe pale hayo Taqwa ukifika Lilongwe unapanda Bus linalopita Desza border au Mwanza yote yanafika Maputo ila hili la Desza linapitia Daraja la Tete...ukifika Lilongwe sio mbali anaekuja Tanzania ni mbali zaidi kuliko wa huko Tete na Maputo watawahi kufika...
 
Back
Top Bottom