megatron kibabu Member Joined Jul 23, 2017 Posts 24 Reaction score 13 May 27, 2020 #21 pancho boy said: Nashkuru kaka lakini natumia window 7 Click to expand... haina shida, Search windows update. na Computer Management una search hvo hvo hamna utofauti mkubwa Sent from my TA-1020 using JamiiForums mobile app
pancho boy said: Nashkuru kaka lakini natumia window 7 Click to expand... haina shida, Search windows update. na Computer Management una search hvo hvo hamna utofauti mkubwa Sent from my TA-1020 using JamiiForums mobile app
Malaika wa Kifo JF-Expert Member Joined Apr 11, 2012 Posts 4,052 Reaction score 4,621 May 28, 2020 #22 Kwa mwenye uhitaji wa paid tool ipo NCK PRO BOX hapa imetumika miezi mitatu ina cable zake kumi na sita.... Bei 300k
Kwa mwenye uhitaji wa paid tool ipo NCK PRO BOX hapa imetumika miezi mitatu ina cable zake kumi na sita.... Bei 300k
kcamp JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 8,517 Reaction score 7,984 May 29, 2020 #23 Frank G said: sasa mkuu hapo unapeleka chakaa watuuu samsung hana historia ya kutumia chip za mtk hebuu tupe aina ya samsung ilitengenezwa kwa processor ya mtk hata mojaaa tu Click to expand... Samsung a10s tena ya mwaka 2019 tu ni mtk Grand prime plus pia ni mtk ...umetaka moja nimekutajia mbili..vp nikuongezee? Sent using Jamii Forums mobile app
Frank G said: sasa mkuu hapo unapeleka chakaa watuuu samsung hana historia ya kutumia chip za mtk hebuu tupe aina ya samsung ilitengenezwa kwa processor ya mtk hata mojaaa tu Click to expand... Samsung a10s tena ya mwaka 2019 tu ni mtk Grand prime plus pia ni mtk ...umetaka moja nimekutajia mbili..vp nikuongezee? Sent using Jamii Forums mobile app
de98 JF-Expert Member Joined Aug 13, 2017 Posts 737 Reaction score 759 May 30, 2020 #24 megatron kibabu said: haina shida, Search windows update. na Computer Management una search hvo hvo hamna utofauti mkubwa Sent from my TA-1020 using JamiiForums mobile app Click to expand... Mkuu mbona windows7 haina updates za uhakika zote za kitambo
megatron kibabu said: haina shida, Search windows update. na Computer Management una search hvo hvo hamna utofauti mkubwa Sent from my TA-1020 using JamiiForums mobile app Click to expand... Mkuu mbona windows7 haina updates za uhakika zote za kitambo