bigvision203
Member
- Nov 1, 2017
- 35
- 21
Nawangojea kwa hamuNgoja waje
Kwann hawafugiki ?Hawafugiki kibiashara hao wadudu, labda Uwe na ziiwa lako kabisa!
Hahaaaahuwezi kufuga dagaa dagaa wanatakiwa uwe na eneo kubwa sana.. kama ziwa kabisa.
Hakuna kitu kama hicho Mkuu,Huyo kunguru mwenyewe mkaidi na watu wanamfuga itakuja kuwa Dagaa.Hawafugiki kibiashara hao wadudu, labda Uwe na ziiwa lako kabisa!
hawana faida kwa sababu itakulazimu uwe nao wengi uweze kupata bei ya samaki mmoja,pia watatumia eneo kubwa kwa faida ndogoHakuna kitu kama hicho Mkuu,Huyo kunguru mwenyewe mkaidi na watu wanamfuga itakuja kuwa Dagaa.
Well said. Kuna mwalimu shuleni kwetu (Rungwe Sekondari) alishawahi kuwa na bwawa la dagaa). Kimsingi wanafugika.Na hapa ndo kunaonekana ombwe la wataalam wetu wa kiafrka. Wanaosema hadi uwe na ziwa ndo uwafuge hawajui factor moja kubwa ya dagaa kibiashra kuwa wanawahi sana kukuwa na matured almost 3weeks na ni moja ya samaki wanaozaliana kwa wingi na kwa kasi, so ukiwa na kibwawa chako hata cha kutoa debe moja kwa hizo week tatu ni hela ya maana coz debe linaanza na 10k+ fikilia kuku wa kienyeji unaemfuga hadi awe mkubwa wa kuuza 10k atakuwa ametumia miezi mingapi na atakuwa amekula Chakula cha sh ngapi?.
Mm naona hatuwafugi kwa sababu hawako kwa watu wa kutumia akili wakawezakutumia akili zao na ikawa furusa kwa jamii wakatuletea madesa ya namna ya kufuga ndo wataalam wetu waanze kujinadi na kituelekeza namna ya kufuga.