Jinsi ya kufungua jicho la tatu(3rd eye chakra)

Meditation ngumu sana Kuna mimea ukitumia jicho la tatu linafunguka fasta unaingia ulimwenguni.
 
Mi nishajaribu sana ila holaaa, akili yangu haiwezi kutulia kabisa sijui nina shida gani, nikianza tu meditation yananijia ma G-wagon, Bentley, na vitu kama hivyo
Kama una changamoto za kiuchumi hata ufungue jicho la nne, hakuna utakachokipata sana sana unaweza kujikuta unapandisha mashetwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…