Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
- Thread starter
-
- #41
Everything has created twice first in the mind then in the realityKama una changamoto za kiuchumi hata ufungue jicho la nne, hakuna utakachokipata sana sana unaweza kujikuta unapandisha mashetwani.
Uyoga mwekundu si kiswahili hicho ila inabidi uelekezwe jinsi ya kutumiaKwa kiswahili
Namanisha hayo jansweedUyoga mwekundu si kiswahili hicho ila inabidi uelekezwe jinsi ya kutumia
CorrectionJumapili njema wote na shikamoni. Bila kupoteza muda leo ningependa kueleza kidogo juu ya dhana ya jicho la tatu na faida zake. Haya songa nami. “3rd eye chakra” au Ajna chakra ni dhana ya kiroho inayotokana na yoga na falsafa za Kihindi. Inasemekana kuwa iko katikati ya paji la uso (baina ya macho mawili ya kawaida).Kiroho, inawakilisha:
Intuition (hisia ya ndani),Ufahamu wa kina (inner awareness),Uwezo wa kuona maisha kwa mtazamo mpana,Kujitambua na kuelewa maana ya maisha. Si jicho halisi, bali ni mfano wa uwezo wa akili na roho kutambua mambo kwa kina.
JINSI YA KUIAMSHA/KUIWASHA FUATA NJIA HIZI
.Fanya meditation (kutafakari kimya kimya)
.Mindfulness (kuwa makini na sasa hivi bila stress)
.Breathing exercises (mazoezi ya kupumua kwa utulivu)
.Kupunguza stress na distractions
.Kujitafakari (self-reflection)
.Jenga maisha ya nidhamu na maadili (kuacha tabia zinazochafua akili kama hasira kupita kiasi, tamaa, nk.)
👉 Lengo si “kufungua kitu kimwili,” bali ni kutuliza akili ili ufahamu wa ndani uonekane wazi zaidi.
UTAJUAJE KAMA UMEFUNGUA JICHO LA TATU
1. Kazi na mafanikio
Wakati mtu anakuwa na “Ajna chakra iliyo wazi” kwa mtazamo wa kiroho:
Hufikiri kwa kina na kimkakati
Hupunguza maamuzi ya haraka ya hisia
Huongeza ubunifu na suluhisho za kazi
Huwa na focus zaidi
👉 Kwa lugha ya kawaida: ni self-discipline + intelligence + focus
2. Uchumi (fedha na maendeleo)
Huongeza uwezo wa kufanya maamuzi ya busara ya pesa
Hupunguza matumizi ya papara
Husaidia kuona fursa na hatari mapema
Huleta mtazamo wa muda mrefu
👉 Kwa uhalisia: ni financial discipline + planning + rational thinking
3. Mahusiano
Huongeza uelewa wa hisia (emotional intelligence)
Husaidia kusoma tabia za watu kwa utulivu.
Hupunguza hasira na uamuzi wa haraka
Huleta mahusiano yenye amani na maana
👉 Kwa uhalisia: ni communication + empathy + self-control
4. Kiroho (core meaning)
Mtu huhisi connection na nafsi yake
Huanza kuona maisha kama yenye maana zaidi. Hupunguza stress ya kukosa pesa na kujenga utulivu wa ndani
5.Uwezo wa kuziona fursa;
Hapa muhusika anauwezo wa kuona fursa na kuzichangamkia.
Pia uwezo wa kutake risk na kunusa hatari iliyoko mbele yako.
6.Uponyaji wa ndani na nje;
Kuamsha ajna chakra huambatana na dua au sala. Hii itakusaidia kuponya majeraha na mzigo uliobeba ndani mwako vile vile kama ulikuwa mgonjwa(kimwili). Unaweza kupona kabisa. Maombi ya saa9 usiku. Tumia hata nusu saa tu.
Jf hutoki bure!!
Thank youCorrection
Meditation sio kutafakari kimya kimya.
Kwahiyo mkuu mtu akitaka kufungua 3rd eye lazima afanye spiritual purification na awakening kwanza?Akili zilizolishwa excitement zisizo halisi mfano unywaji wa pombe za wastan/nyingi mara kwa mara, punyeto nyingi, picha za ngono nyingi, nguvu za giza. Haya mambo yapotezea mtu focus bila kujijua na sio rahisi kujua kwa haraka
Naomba muongozo namna ya kufikia solar plexus mkuuUkiwa unafanya meditation kama umefikia solar plexus your on the right truck
Fanya meditation Mkuu ukianza kuona solar plexus anza kutamka na yale maneno kwa sauti ndogo hadi pale utakapohisi mwili wako umepata nguvu ya ghafla hiyo inaitwa aura energy nadhani utaishia hapoNaomba muongozo namna ya kufikia solar plexus mkuu
Ayawazayo mtu ndiyo yamjazayoipo silicone water based lube kwa ajili ya kuwafungua jicho la tatu
🤣🤣🤣🤣Wadada wameshafungua sana jicho la 3, kupata macho ma3..
Mithun CHAKRAbot
Fungua jicho hilo mkuuu
Ujue na kulifunga pia.Jumapili njema wote na shikamoni. Bila kupoteza muda leo ningependa kueleza kidogo juu ya dhana ya jicho la tatu na faida zake. Haya songa nami. “3rd eye chakra” au Ajna chakra ni dhana ya kiroho inayotokana na yoga na falsafa za Kihindi. Inasemekana kuwa iko katikati ya paji la uso (baina ya macho mawili ya kawaida).Kiroho, inawakilisha:
Intuition (hisia ya ndani),Ufahamu wa kina (inner awareness),Uwezo wa kuona maisha kwa mtazamo mpana,Kujitambua na kuelewa maana ya maisha. Si jicho halisi, bali ni mfano wa uwezo wa akili na roho kutambua mambo kwa kina.
JINSI YA KUIAMSHA/KUIWASHA FUATA NJIA HIZI
.Fanya meditation (kutafakari kimya kimya)
.Mindfulness (kuwa makini na sasa hivi bila stress)
.Breathing exercises (mazoezi ya kupumua kwa utulivu)
.Kupunguza stress na distractions
.Kujitafakari (self-reflection)
.Jenga maisha ya nidhamu na maadili (kuacha tabia zinazochafua akili kama hasira kupita kiasi, tamaa, nk.)
👉 Lengo si “kufungua kitu kimwili,” bali ni kutuliza akili ili ufahamu wa ndani uonekane wazi zaidi.
UTAJUAJE KAMA UMEFUNGUA JICHO LA TATU
1. Kazi na mafanikio
Wakati mtu anakuwa na “Ajna chakra iliyo wazi” kwa mtazamo wa kiroho:
Hufikiri kwa kina na kimkakati
Hupunguza maamuzi ya haraka ya hisia
Huongeza ubunifu na suluhisho za kazi
Huwa na focus zaidi
👉 Kwa lugha ya kawaida: ni self-discipline + intelligence + focus
2. Uchumi (fedha na maendeleo)
Huongeza uwezo wa kufanya maamuzi ya busara ya pesa
Hupunguza matumizi ya papara
Husaidia kuona fursa na hatari mapema
Huleta mtazamo wa muda mrefu
👉 Kwa uhalisia: ni financial discipline + planning + rational thinking
3. Mahusiano
Huongeza uelewa wa hisia (emotional intelligence)
Husaidia kusoma tabia za watu kwa utulivu.
Hupunguza hasira na uamuzi wa haraka
Huleta mahusiano yenye amani na maana
👉 Kwa uhalisia: ni communication + empathy + self-control
4. Kiroho (core meaning)
Mtu huhisi connection na nafsi yake
Huanza kuona maisha kama yenye maana zaidi. Hupunguza stress ya kukosa pesa na kujenga utulivu wa ndani
5.Uwezo wa kuziona fursa;
Hapa muhusika anauwezo wa kuona fursa na kuzichangamkia.
Pia uwezo wa kutake risk na kunusa hatari iliyoko mbele yako.
6.Uponyaji wa ndani na nje;
Kuamsha ajna chakra huambatana na dua au sala. Hii itakusaidia kuponya majeraha na mzigo uliobeba ndani mwako vile vile kama ulikuwa mgonjwa(kimwili). Unaweza kupona kabisa. Maombi ya saa9 usiku. Tumia hata nusu saa tu.
Jf hutoki bure!!
Huwezi kufungua chakras ya juu ikiwa bado hujafungua ya chini yaani huwezi kufungua jicho la tatu ambalo ni 6th chakras ilhali wewe una~operate kwenye chakras za chini hususan 5th chakras kushuka chini mpaka ya mwisho.Mi nishajaribu sana ila holaaa, akili yangu haiwezi kutulia kabisa sijui nina shida gani, nikianza tu meditation yananijia ma G-wagon, Bentley, na vitu kama hivyo