Kufuta caches sio suluhisho maana zitarudi tena kwenye system kadri unavyoendelea kutumia laptop yako.
By the way, caches zimewekwa ili kuifanya computer yako kuwa nyepesi maana zinahifadhi taarifa za programs unazotumia mara kwa mara ili uweze kuzifikia kwa haraka zaidi pale unapohitaji kutumia programs hizo.
Suluhisho ni kuboresha (upgrade) laptop yako. Jaribu kuangalia vitu ambavyo unaweza kuviongeza kwenye laptop yako kama vile RAM, SSD n.k. ambavyo vitaongeza utendajikazi ama uwezo wa laptop yako kufanya kazi.