Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Kama ile ya kina Wema jamani . . . hiyo inatoka kweli???
Dah . . .

Ahahahaha Ave umenifanya nicheke kwa nguvu hahaha!

Ile ya Wema ni too much na inatia kinyaa;Lkn niliwahi kuwa na demu Kisosora-Tanga alikuwa anairembesha kwa hina inakuwa ya njano usiku akivua inameremeta ilikuwa saafi sana!
 
Ahahahaha Ave umenifanya nicheke kwa nguvu hahaha!

Ile ya Wema ni too much na inatia kinyaa;Lkn niliwahi kuwa na demu Kisosora-Tanga alikuwa anairembesha kwa hina inakuwa ya njano usiku akivua inameremeta ilikuwa saafi sana!


Nimeipenda hiyo art Aiseee!!
Sikujua kama nayo inaweza kuwa useful urembo.
 
Nimeipenda hiyo art Aiseee!!
Sikujua kama nayo inaweza kuwa useful urembo.

Ave lini utakuja Kyela kunitembelea nikutayarishie mpunga unaonukia na samaki mbasa?Njoo huku ubadilishe mawazo maana wanaume wa pwani hao akina watu8 wakikuona kila siku wanakuchoka!

Kipindi cha Ipijilo sasa tumevuna,njoo unichune mrembo!Ahahahahaha
 

Hahahah nikuchune tena jamani . . . haaa!!!!!
Ebu acha kunichuuza mwana wa mwanaume mwenzio.

Nashukuru kwa mwaliko. Nitakuja kuchukua zawadi niwaone na hao samaki mbasa.
 

dah...pole yake..ninavyopenda skirt fupi hata sijui ingekuaje..
 
bio-oil, cocoa butter, shea butter na snake oil zinasaidia sema sio kwa muda mfupi.. it takes time.

ONYO:
watumiaji wa mikorogo punguzeni na pia usitumie mkorogo wenye STEROIDS ni hatari mno kwa afya yako.

wengi wanatumia kwakua hung'arisha upesi na kuwa mweupe in few weeks lakini madhara yake ni makubwa mnoo..
 
Kuna michirizi na makunyanzi yote yanafanana.!!
 
msaada tafadhali, anaefahamu dawa au mafuta yoyote yanayoonda michirizi (stretch marks)
 
mimi sijui kama kuna dawa kiivo
ila ninajua kinga!
kuna mtu aliniambia ukitaka usipate michirizi inabidi uwe unajipaka mafuta ya mgando mwili ukoleee na sio malosheni haya
michirizi inasababishwa na machemicals na ngozi kuwa kavu!
so pendelea kujipaka mafuta ya mgando vaseline ..baby care nk.na kweli kwa kuprove hilo my late mom alikuwa sio mpenzi wa lotion yaani ungemuona hakuwa na mchirizi hata wala usingejua kamaa kazaa timu ya mpira...so achana na carolite ..rudia vya zamani mamaa!
bio oil ni nzuri pia !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…