Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

 

Inawezekana kweli inaleta dosari, lakini je wamependa itokee?
 

"Michirizi ya utam nyuma ya goti mimi hoi"-Mwanafalsafa kwenye wimbo wa mabinti

Inakuwaje unasema inaleta dosari wakati wengine wanaita ni utam?
 
Tyta

Kuna michirizi inayotokana na ngozi kuvutika kwa ukali wa vipodozi (pichani). Pia ipo mingine tumboni hutokana na kutanuka kwa tumbo wakati wa ujauzito (haiwatokei wanawake wote) mingine husababishwa na unene mtu anaponenepa ngozi hutanuka akikonda michirizi huonekana na mingine hutokea nyuma ya goti, eneo la nyonga au mapajani kama mapambo.
 
Last edited by a moderator:

Ushawahi mmoja ukaona utamu wao? au umeishia kuchungulia na kuja hapa kulalamika tu
 
Ikizidi sana inatisha kwa kweli!
 
Hiyo michirizi hata wanaume wanayo co wanawake tu na ni kawaida hujakosa la kuchunguza kweli... Kamchunguze kuku km utamla
 
Kuna wanaojichubua huathirika zaidi na hii kitu, sijui ni kwanini.
 
Tyta

Hili kama paja la Wema Sepetu vile.
 
Last edited by a moderator:
Tyta

Huyu anaonekana kabisa amejichubuaku na ile michirizi ya asili haitokani na vipodozi
ila kila mtu na upendeleo wake mwingine hiyo michirizi anaona pambo kabisa na anaifurahia.
 
Last edited by a moderator:
"Michirizi ya utam nyuma ya goti mimi hoi"-Mwanafalsafa kwenye wimbo wa mabinti

Inakuwaje unasema inaleta dosari wakati wengine wanaita ni utam?

Hivi kwanini inaitwa michirizi ya utamu?
 
Vijana wa siku hizi bure kabisa, Hiyo tunaiita mistari ya utamu

Mrudi jando
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…