kunalkunal951
Member
- Sep 17, 2016
- 89
- 12
Subiri banHivi ukiandika post haiwezekani kufuta kama inawezekana naombeni msaada munielekezee
KwaniniSubiri ban
Hamnadelete=kufuta, neno hilo halipo kwako chini ya post kulia?
NdioUnaingia halaf unakosa mlango wa kutokea
Zingine nataka nifutesasa unataka kufuta ya nini? Iache
halafu...Zingine nataka nifute
Halafu niandike kitu kinginehalafu...
KivipiUkishaweka uzi hapa si mali yako tena na ukileta mzaha unashuhulikiwa.