Jinsi ya kugeuza shilingi Elfu 1 kuwa shilingi bilioni 1 kwa uhakika

Makirita Amani

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
1,915
Reaction score
3,422
Rafiki yangu mpendwa,

Inapokuja kwenye fedha, watu wamehangaishwa na mambo mengi ambayo yamekuwa hayafanyi kazi.

Kumekuwa na njia nyingi za mkato zinazowaahidi watu utajiri wa haraka tena bila ya kufanya kazi. Lakini mara zote njia hizo zimekuwa zinaishia kuwagharimu watu na kuishia kupoteza fedha zao.

Wale ambao wameshaumizwa na hizo njia za mkato wamekosa kabisa imani kwamba wanaweza kujenga utajiri mkubwa. Huku ambao bado hawajaumizwa wakiendelea kutafuta njia za aina hiyo.

Rafiki, habari njema nilizonazo ni kwamba ipo njia sahihi ya kukuwezesha wewe kugeuza shilingi elfu 1 kuwa shilingi bilioni 1. Njia hiyo haihusishi miujiza au utapeli wa aina yoyote.

DALL·E-2024-09-20-06.28.52-A-Tanzanian-shilling-banknote-design-showing-two-sides.-One-side-prominently-displays-1000-with-typical-Tanzanian-design-elements-including-tradit.webp

Njia ya kufanya hivyo ni kupitia uwekezaji wa muda mrefu, kwa msimamo bila kuacha. Mtu yeyote anayeweza kufanya uwekezaji wa shilingi elfu moja kila siku, ambayo ni sawa na elfu 30 kwa mwezi, akawekeza eneo linalompa marejesho ya 12%, hivi ndivyo ukuaji wa uwekezaji wake utakavyokwenda;

Mwaka 1 inakuwa Tsh 380,475.09

Miaka 5 inakuwa Tsh 2,450,090.10

Miaka 10 inakuwa Tsh 6,901,160.68

Miaka 20 inakuwa Tsh 29,677,660.96

Miaka 30 inakuwa Tsh 104,848,923.98

Miaka 40 inakuwa Tsh 352,943,175.31

Miaka 50 inakuwa Tsh 1,171,750,191.00

(NB; Ukokotoaji huu umefanyika kwa kutumia kikokotoo cha UTT AMIS kinachopatikana hapa; Tools||monthly Calculator – UTT Asset Management And Investor Services PLC Kiasi cha kuwekezwa kila mwezi kimewekwa 30,000/= na riba ya 12% kwa mwaka ambao ndiyo wastani wa marejesho kwa mifuko ya UTT AMIS).

Rafiki, hizo siyo ndoto za alinacha, bali ni uhalisia kabisa. Na kama ungependa kupata mkakati kamili wa kutekeleza hilo, karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Karibu Kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.

Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifuatavyo;

1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.

2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.

3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.

4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.

5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.

6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.

7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.

Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.

Kushiriki piga simu au tuma ujumbe wa kawaida au kwa wasap kwenda namba 0752977175 wenye maneno SEMINA 2024 na utapewa utaratibu mzima na nafasi ya kushiriki.

Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kufanya uwekezaji bora kabisa kwako, utakaoacha alama kubwa kifedha kwako.

Kutoka kwa rafiki yako anayekupenda na kukujali sana,

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

Daktari |Mwandishi |Kocha |Mkufunzi
 
We una kiasi gan hadi sasa?
 
Brother miaka 50 unaichukuliaje kwani?? Unaiona kama nauli ya dubai au?? Kwa kifupi hiyo utt amis pia ni utapeli...... sasa jichanganyeni muanze kulia lia hapa jukwaani.........hiyo NMB AU CRDB watu walioweka pesa zao waki withdraw watu milioni 2 kwa mara moja bila kudeposit zinakwenda muflis soon as possible............weka pesa kwenye mambo mengine achana na hiyo biashara ya mifuko nyoko sijui mifuko konyo.......hao PSSSF wanachukua pesa za kira mfanyakazi ILA sasa kimbembe umemaliza ajira unataka pesa yako........ndio utaiona kira rangi ambayo iko kwenye gunia.............
 
Rafiki yangu mpendwa,

Inapokuja kwenye fedha, watu wamehangaishwa na mambo mengi ambayo yamekuwa hayafanyi kazi.

Kumekuwa na njia nyingi za mkato zinazowaahidi watu utajiri wa haraka tena bila ya kufanya kazi. Lakini mara zote njia hizo zimekuwa zinaishia kuwagharimu watu na kuishia kupoteza fedha zao.

Wale ambao wameshaumizwa na hizo njia za mkato wamekosa kabisa imani kwamba wanaweza kujenga utajiri mkubwa. Huku ambao bado hawajaumizwa wakiendelea kutafuta njia za aina hiyo.

Rafiki, habari njema nilizonazo ni kwamba ipo njia sahihi ya kukuwezesha wewe kugeuza shilingi elfu 1 kuwa shilingi bilioni 1. Njia hiyo haihusishi miujiza au utapeli wa aina yoyote.

DALL·E-2024-09-20-06.28.52-A-Tanzanian-shilling-banknote-design-showing-two-sides.-One-side-prominently-displays-1000-with-typical-Tanzanian-design-elements-including-tradit.webp

Njia ya kufanya hivyo ni kupitia uwekezaji wa muda mrefu, kwa msimamo bila kuacha. Mtu yeyote anayeweza kufanya uwekezaji wa shilingi elfu moja kila siku, ambayo ni sawa na elfu 30 kwa mwezi, akawekeza eneo linalompa marejesho ya 12%, hivi ndivyo ukuaji wa uwekezaji wake utakavyokwenda;

Mwaka 1 inakuwa Tsh 380,475.09

Miaka 5 inakuwa Tsh 2,450,090.10

Miaka 10 inakuwa Tsh 6,901,160.68

Miaka 20 inakuwa Tsh 29,677,660.96

Miaka 30 inakuwa Tsh 104,848,923.98

Miaka 40 inakuwa Tsh 352,943,175.31

Miaka 50 inakuwa Tsh 1,171,750,191.00

(NB; Ukokotoaji huu umefanyika kwa kutumia kikokotoo cha UTT AMIS kinachopatikana hapa; Tools||monthly Calculator – UTT Asset Management And Investor Services PLC Kiasi cha kuwekezwa kila mwezi kimewekwa 30,000/= na riba ya 12% kwa mwaka ambao ndiyo wastani wa marejesho kwa mifuko ya UTT AMIS).

Rafiki, hizo siyo ndoto za alinacha, bali ni uhalisia kabisa. Na kama ungependa kupata mkakati kamili wa kutekeleza hilo, karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Karibu Kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.

Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifuatavyo;

1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.

2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.

3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.

4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.

5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.

6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.

7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.

Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.

Kushiriki piga simu au tuma ujumbe wa kawaida au kwa wasap kwenda namba 0752977175 wenye maneno SEMINA 2024 na utapewa utaratibu mzima na nafasi ya kushiriki.

Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kufanya uwekezaji bora kabisa kwako, utakaoacha alama kubwa kifedha kwako.

Kutoka kwa rafiki yako anayekupenda na kukujali sana,

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

Daktari |Mwandishi |Kocha |Mkufunzi
Ikiwa tu tutakuwa na sera zisizoruhusu baadhi ya mamlaka kuingilia taasisi zetu za fedha,habari za kikokotoo Cha watumishi kuyumba siyo jambo la bahati mbaya,ila ni ubabe wa baadhi ya mihimili na kutokujali jasho la Walala hoi,vinginevyo ni hesabu nzuri
 
Jipige mbupuni mara tatu useme kwa nguvu " mimi ni faller"
 
Yuki na problem yani kama unamiaka 50 usubiri miaka 50 mingine ili upate bilioni 1 wakati yapo madili kwa mwaka hata bilioni 3 unapata what the fu
 
Back
Top Bottom