James07392
Member
- Mar 8, 2019
- 20
- 6
thanksUsikate tamaa, endelea kuhangaika. Lenye mwanzo huwa na mwisho. Kila la heri
I see,,,, wahuni sana haoooUlishaingia choo cha kike. Soma mkataba vizuri kuna kipengele kinasema lazima utoe notification 3 months before hujaclear deni lako.
Yaani mara mia uende crdb, nmb na benki zingine sio hao uchwara sijui nufaisha, platinum, utalia. Hao ni kundi la wezi.
Habari wana jamii forum!!! Samaha mimi nina mkopo katika kampuni la Faidika nataka kuhamishia NMB.... na nimekwenda FAIDIKA wanipe balance wananizungusha tu . Naomba msaada nifanye nini kwa wale wenye uzoefu tafadhali!!!!!
thanks kwa ushauriKuhamisha huwezi..apo solution clear off debt..yani kulilipa lote na hiyo itakukupunguzia kiasi cha riba..ingekua bank kwa bank,kama kuna maslahi bank moja inaweza ikaninunua mkopo wa bank nyingine..tofauti na hapo nenda nmb kafanye process za kupata mkopo endapo una dhamana nyengine then wakikupa unaenda kuclear off huko faidika..kama umekwama kabisa uza dhamana kuu mmalizane kabla hawaingia ndani kbsa.