Jinsi ya kuhamisha Telegram contacts

Jinsi ya kuhamisha Telegram contacts

Jaffary

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
807
Reaction score
385
Wakuu amani iwe kwenu!

Nime-stack kidogo. Ninataka kuhamisha contacts zangu zilizo kwenye telegram kuja kwenye simu au kwenye Gmail account yangu. Inafanyika vipi?

Nimehangaika pasi na mafanikio.

Asante.
 
Ingia You tube, Tips of telegram
 
Android or iPhone?

Jaribu kuingia kwenye Telegram then Settings then Provacy & Security, malizia na Sync
Hii nilijaribu haijafanikiwa. Nina contacts 2000 kwenye telegram nataka nizihamishie kwenye phone contact yangu.

Hakika atakayeniwezesha kufanikisha donge nono linamhusu
 
Back
Top Bottom