Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tafuta vitabu vya History 1 na History2 vinavyoitwa Mastering of History vilivyoandikwa na Abubakar Kato, soma hvyo ni vizuri sana topics zake zichambuliwa vizuri sana na vina maswali kwa kila kipengele, Pia kwny language napo simple 2 ila topic ya kwanza ya Stylistics and communication skills unatakiwa upigie hata tution koz ni ndefu kidogo, Pia kwny language 2 ni mwendo wa kudefine viterminelogy hadi raha. About Geog nayo poa 2 hasa Geog 2
Kwa upande wa geogrphy tafuta physical geog. Ya msabila ndio nzur! Na history usiishie kwenye mastering tu cuz kuna baadh ya topic ameeleza kwa ufup xana na Lg1 tafuta kitabu cha Nicholus ashely ndo mpango mzma
Lg pia tafuta kitabu cha kadege.
thanks brothers kwa taarifa.. Mbarikiwe sana..
ioalso rb bunnet, monkHouse...! fr geoGraphy
io
hivyo ndo vya enzi na enzi walivosomea kina mkapa
Naomba kufahamishwa, kwa wale wanaofahamu techniques/tricks za kuwa best in HGL. Natanguliza shukrani za dhati..