jinsi ya kui_master combi ya HGL

Kaliro X

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
749
Reaction score
440
Naomba kufahamishwa, kwa wale wanaofahamu techniques/tricks za kuwa best in HGL. Natanguliza shukrani za dhati..
 
Mkuu tafuta vitabu vya History 1 na History2 vinavyoitwa Mastering of History vilivyoandikwa na Abubakar Kato, soma hvyo ni vizuri sana topics zake zichambuliwa vizuri sana na vina maswali kwa kila kipengele, Pia kwny language napo simple 2 ila topic ya kwanza ya Stylistics and communication skills unatakiwa upigie hata tution koz ni ndefu kidogo, Pia kwny language 2 ni mwendo wa kudefine viterminelogy hadi raha. About Geog nayo poa 2 hasa Geog 2
 
Kwa upande wa geogrphy tafuta physical geog. Ya msabila ndio nzur! Na history usiishie kwenye mastering tu cuz kuna baadh ya topic ameeleza kwa ufup xana na Lg1 tafuta kitabu cha Nicholus ashely ndo mpango mzma
 

Kwa upande wa geogrphy tafuta physical geog. Ya msabila ndio nzur! Na history usiishie kwenye mastering tu cuz kuna baadh ya topic ameeleza kwa ufup xana na Lg1 tafuta kitabu cha Nicholus ashely ndo mpango mzma

thanks brothers kwa taarifa.. Mbarikiwe sana..
 
Lg pia tafuta kitabu cha kadege.

Mkuu umenena, kitabu cha Dr.Kadege cha Language 1 ndiyo the best na kama mwanafunz atajitahid kukisoma vizuri basi atakuwa na hazina kubwa sana ya material kichwani.
 
cheki na major invent ya Fr.Jovotus siyo ya nyambari hapo ni history one..history two cheki ya nyambari....physical geography cheki na book za kenya wanaandika vyema, geography two cheki na nyambari anachokizuri sn....ok.
 
Kwa Geography Tumia Msabila hutajuta mpka unakufa
 
also rb bunnet, monkHouse...! fr geoGraphy
 
Mtoto wangu mdogo hii combination inampa taabu.....kuna walimu wazuri wa likizo?
 
Naomba kufahamishwa, kwa wale wanaofahamu techniques/tricks za kuwa best in HGL. Natanguliza shukrani za dhati..

Naona wadau wengi mna_suggest useful books (nashkuru kwa hilo) lakn vipi kuhusu mbinu zngne kwa mfano jinsi ya kujpangia ratiba, mambo ya muhimu kuzingatia, mada za muhimu.. N.k. Thanx
 
Mbinu zingine uwe na ushirikiano wa discussion sana na wenzio na uombe mungu mana kusoma tu nayo c nzuri,je upo shule gani? Naweza kuja hapo kukuona na kukupa msada zaidi.
 
I real wish watu waelewe uzuri wa geog...hasa physical geog...
Yote hayo yaliyosemwa ni maneno tu na yana umuhim sana. Kama unataka kufaulu geog na sio geog tu hata history na language ni lazima kwanza uikubali na kuiridhia hiyo kombi toka moyoni na hata kama huipend au uko nusu nusu nakushaur jitaidi uipende.

Kwa geog mi nakushauri sana pamoja na kusoma vitabu ulivyoambiwa soma sana na uipende physical geog maana hii ndio engine ya geog hasa one. Na hapa watu wengi mnaosoma pure arts ndipo panawashika si kwamba hamwez ila weng wanapotoka na maneno ya watu.

Kwa upande wa geog 2hapa naimani hapatakua na tabu na hapa ndipo wengi hasa wale wabovu wa geog 1 wanapofaulu geog!! History na lg sijui kitu maana sina utaalam nayo..na katika upande wa vitabu nakushauri..
1) physical geography(land forms) of africa
2)principals of physical geography..monk house
3)na burnett
Sasa hivyo ni kama unataka kuilewa geography hasa geog1
4)mtegetwa na dt msabila pia vinaweza kukusaidia katika safari yako...
Hii si kwako tu ila kwa wanafunzi wote wanaosoma au wanaotarajia kusoma geog advance level..
Na katika swala la ratiba fanya hivi..
Tafuta somo ambalo unaona linataka nguvu ya ziada( na hapa napendekeza geog) then uwe unalisoma kila siku...kwa siku jitaid upitie masomo mawil..eg leo ni geog na history..kesho ni language na history....kesho kutwa tena geog na history!! Bila kuisahau g.s hata mara mbil au tatu kwa wiki si mbaya...
Nakuhakikishia ukiweza hii lazima tu ufanikiwe hasa geog..again jitahid kuepuka kampan ambayo si nzuri ufikapo shule!
Nb: geog=geography
Hongera na karibu katika ulimwengu wa geography..
Cc ManMoker na wote wanasoma au wanaotarajia kusoma geography..
 
Last edited by a moderator:
Mbinu zingine uwe na ushirikiano wa discussion sana na wenzio na uombe mungu mana kusoma tu nayo c nzuri,je upo shule gani? Naweza kuja hapo kukuona na kukupa msada zaidi.

thanx mkuu, me Nipo Ndanda high school..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…