chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
WANZUKItengeneza chai kwa kuchemsha maji na majani ya chai ( zidisha majani ya chai kuliko kawaida )
kisha baada ya chai kuchemka vizuri acha ipoe
ikishapoa chuja na kuwekea sukari nyingi nyingi, kama una scoby unaweza ukaweka kama hauna hakunashida pia, iache chai yako ndani kwa siku kadhaa hadi itachacha na kuanza kua kama bia
kumbuka kuifunika
baada ya kupata ladha ya bia, wekea amira kiasi kisha iache kwa siku kadhaa zijazo ambapo alc itakua ikipanda
baada ya siku nyingi kupita utakua umepata bia yako, hapa unaweza kutengeneza bia za aina mbalimbali. saivi nipo natengeneza bia na ikikamikika nitamualika Lamomy ili tuje kuinywa kwa pamoja.
bia hii inahitaji subira na uvumilivu kabla ya kupata kinywaji chako
Vijana wa sikuhuzi hawawezi kuelewaWANZUKI
ndio.. nina uelewa nayo mkubwa sana nilisomea kabisaMKuu
Kumbe avatar yako ya Chai ya rangi si bure!
nafurahi kukuona Hata najua basi usiku huu upo macho, all in all shortcut ya bia yetu hakuna kwasababu kila kitu kizuri kinahitaji muda๐๐ we jamaa noma sana
Sijui hua una waza nini
Anyway hakuna shortcut ya kutengeneza hiyo bia
Naona mlolongo mlefuuu
niliwahi kuwa dallas kipindi fulaniHii umeitoa kwa jela za USA, hivi ndivyo wanavyofanya
Unaongelea fermentationtengeneza chai kwa kuchemsha maji na majani ya chai ( zidisha majani ya chai kuliko kawaida )
kisha baada ya chai kuchemka vizuri acha ipoe
ikishapoa chuja na kuwekea sukari nyingi nyingi, kama una scoby unaweza ukaweka kama hauna hakunashida pia, iache chai yako ndani kwa siku kadhaa hadi itachacha na kuanza kua kama bia
kumbuka kuifunika
baada ya kupata ladha ya bia, wekea amira kiasi kisha iache kwa siku kadhaa zijazo ambapo alc itakua ikipanda
baada ya siku nyingi kupita utakua umepata bia yako, hapa unaweza kutengeneza bia za aina mbalimbali. saivi nipo natengeneza bia na ikikamikika nitamualika Lamomy ili tuje kuinywa kwa pamoja.
bia hii inahitaji subira na uvumilivu kabla ya kupata kinywaji chako
ndio ndivyo bia zinavyopatikanaUnaongelea fermentation
Anataka akufungue kizibo cha bia shauri zakoKwahiyo umeniona mimi taster wa wanzuki zako? Mfyuuuuuu ๐ฎ๐น๐น๐น
Hata nisipokuwepo hamjisikii raha bila kunichokoza kwann lakini?