Jinsi ya kuileta video ya You Tube,ndani ya JamiiForums.Jifunze hapa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
Kama kawaida vizuri huwa nashare na wenzangu. Leo tutajifunza jinsi ya kuileta video yoyote ya you tube,twitter etc ndani ya Jukwaa letu pendwa(JamiiForums). Natumia you tube kama mfano. pale kwenye kibox cha sms kuna vikorombwezo kibao chagua(click) hivyo vidoti vitatu
Itatokea hivi. Chagua (click)neno MEDIA
Itatokea,tafuta neno you tube hapo kisha bonyeza(click)

Itakupeleka moja kwa moja You tube kama hivi kisha bonyeza hapo kwenye kimshale ili kutype video yoyote unayoitaka
Mie nilitype
Ikija iclick kama unataka kuiplay. Bonyeza neno share
Kisha itakuja hivi,bonyeza hapo kwenye hio link kisha copy link(unaibonyeza link yanatokea maneno)

Ukishamaliza kukopy link rudi nyuma hatua kwa hatua kama ulivyoingia mpaka uje JF. Kisha paste link yako hapa. Halafu bonyeza neno CONTINUE
Kisha maliza kazi kwa hatua hii. Post video yako
Kama hivi yaaniii
WELCOME MDAU. JARIBU HAPA MARA NYINGI UTAKAVYO
 
Mimi nilishashindwaga kuattach GIF natumia browser anae jua msaada please,
 
Safi kabisa. Kuna application ya mpira inaitwa allfootball. Huko kila mechi hasa za majuu wanaweka magoli kwa GIF. Kesho stars wakifunga GIF zitapatikana
Ooh. Sawa rafiki. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Jaman wewe kaka mambo gan haya unasemaa duh hahahahha
Sasa hivi huwezi kumuona hadi anywe supu kuongeza nguvu alizopoteza usiku na cha asubuhi. Pole au niseme hongera Demiss . Pengine atakuja kuanzisha uzi kuwa alikuwa kibamia wakati yupo hoi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…