Habar wana JF nauliza hasa kwa mtu aliyejaza hii form ya mkopo kwa ajili ya program maalumu ya ualimu(diploma in sc/mathematics). Kuna sehemu ya kujaza haina form IV. Ina form 6, diploma na equivalent tu.
Habar wana jf nauliza,hasa kwa mtu aliyejaza hii form ya mkopo,kwa ajili ya program maalumu ya ualimu(diploma in sc/mathematics) sasa kuna sehm ya kujaza haina form iv ina form 6,diploma na equivalent tu,sasa najaza nn apo