Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #21
Safi sana kaka.
Nimepata haya.
1.JIPENDE WEWE NA FAMILIA YAKO.
2.JIJENGE KIROHO.
3.JIJENGE KIUCHUMI.
4.ISHI KAMA MWANAUME.
5.ONGEZA UJUZI (jua mazingira yanayokuzunguka)
Nitausoma
Kwa kura sawa ila kwa madini huna mpinzani maana uko vizuri kichwani nadhani JamiiForums wajitafakari kama vipi huu mtanange urudiwe.Usijali Mkuu.
Kaka Mshana Jr alinizidi Kwa Kura. Na kigezo cha zile tuzo zilikuwa kushinda Kwa Kura. Hivyo ni Haki
Kwa kura sawa ila kwa madini huna mpinzani maana uko vizuri kichwani nadhani JamiiForums wajitafakari kama vipi huu mtanange urudiwe.
Sio unatembea umelegeza natoka[emoji23][emoji23] nimeipenda hio
Kamwe usifanye kazi ya kumbadilisha MTU, Huko ni kupoteza Muda wako tuu.
Kama MTU anatabia ambazo haziendani na wewe ni Bora uachane naye mapema Kabla hamjaingia kwenye ujenzi wa familia. Kwani sio kwamba utakwama wewe Bali hata kizazi chako kitakwama.
Naomba ujengewe sanamu wewe jamaa. Umeshindikana
Imekaa vizuri sana safi
Leo umeandika, sina swali wala nyongeza ya hoja, nakuwekea nukta.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hastahili.Mkuu kwa nini JamiiForums hawajakupa zawadi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] urudiwee watu washachukuaa chao mapemaaa, na leo ndo siku ya mwisho.Kwa kura sawa ila kwa madini huna mpinzani maana uko vizuri kichwani nadhani JamiiForums wajitafakari kama vipi huu mtanange urudiwe.
Uzi wa dunia , hongera sana Robert libarikiwe pia tumbo lililokubeba.