Jinsi ya kujisajili na PSSSF kwa watumishi waliotoka mifuko mengine

Jinsi ya kujisajili na PSSSF kwa watumishi waliotoka mifuko mengine

must be

Member
Joined
Oct 6, 2014
Posts
84
Reaction score
28
PSSSF Member Portal nimejaribu kutumia link hiyoo kujaribu kujisajili ili niweze kujuaa taarifa zangu, sijafanikiwa.

Msaada kwa anayejuaa jinsi ya kujisajili
 
Nimekaa kiti cha mbele hapa nawasubiria wajumbe waje kutoa muongozo.
 
Huu mfuko no uhuni tu ukiangalia zile benefit zipo kihuni huni tu mfano fao LA uzazi halipo haya ukienda jisajiri kwenye portal yao wanaomba namba ya NIDA ukiweka ibagoma yani ni ovyo ovyo tu
 
Back
Top Bottom