Naendesha biashara yangu ya ushereheshaji ila nafahamika eneo dogo na napenda kuipanua zaidi kufikia ngazi ya mkoa ama mikoa nifanyeje kujitangaza na kuongeza ujuzi wa ishu hii?
Anzisha thread na ipe maelezo ya kutosha kuhusu shughuli yako. mfano
- Unapatikana wapi?
- Ghalama zako ni kiasi gani kwa saa?
- Mawasiliano yako
- Huduma nyingine unayotoa sambamba na ushereheshaji mfano: Kutoa vifaa vya mziki, wapambaji, Chakula n.k
Pia ingia kwenye Profile yako edit SIGNATURE na weka huduma unayotoa na mawasilano yako.