Hivi hii tabia ya watu wakishindwa kuuzika uraiani wanakimbilia majeshini itaisha lini?
Ona huyu eti kachoka kuchoma mahindi kitaa sasa anataka jeshi la polisi, kwa taarifa yako jeshi letu tuna taka liwe la kisomi hivyo hatu pokei vilaza tena, polisi ni kazi ya kisomi inayo ambatana na sheria, taratibu za kijeshi, hivyo tumegundua kuwa watu wa dizaini yako ndio mnao rudisha nyuma taaluma ya polisi.
Rudi shuleni ukipata division one omba jeshi la polisi tena tutakuchukua ila kwa hiyo three yako bado huna kiwango cha kufanya kazi hii ya polisi ambayo ni kazi ya kitaalam sana hasa kwa nchi za wenzetu.