Jinsi ya kujua kama charger ni fake au original

Kwangu
Fast charge NO.
Battery 4000mh
sa sijui itakuwa kwenye lile kundi la kwanza la 1.5W🤔🤔
 
Ndio ni 5W kwa 1A, ila ndio iliyokuja na simu.inaweza kuwa tatizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana. Ila inawezekana simu yako inaweza kucharge juu ya hyo 5W. Macompany ya simu yana tabia ya kuweka charger ya watt ndogo ili kusave hela hata kma simu inaweza charge juu ya hapo. Mfano iPhone XS, XR na 11 Plain zilikua zinakuja na 5W charger wakati zinasupport hadi 18W charger
 
Ngoja niende gsm arena nikaangalie kama inauwezo wa ku charge juu ya hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna namna nyingine ya kujua bila gsmarena.. Maan Simu yangu ina support 18W lakini gsmarena inasema ni 10W
 
Bonge la madini kiongozi.. Niongeze tu W kuipata toka kwenye VA ni lazima power factor ihusike, lakini kwa chrge, loss is very minimal, hence almost W = VA
 
Huu uzi centent za humu naenda kupiga hela kwa dada wa kihindi.
Mungu akubariki.
 
Mkuu shukran sana kwa huu uzi
hivi ukiwa unatumia sim huku ipo kwenye charge Betry inaweza kufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…